Follow us on:

Pages

MATUKIO YA SERENGETI FIESTA 2012 MUSOMA JANA IJUMAA

Roma mkatoriki akipagawisha mashabiki katika jukwaa la serengeti fiesta 2012 musoma

Fid q akipagawisha mashabiki jana musoma

Sehemu ya mashabiki waliojitokeza jana kwenye serengeti fiesta 2012 musoma

Bongo muvie hawakuwa nyuma kwenye burudani hapa Jacob Stiven akipagawisha mashabiki

Ney wamitego akiwaonesha uwezo wananchi wa mjini musoma

The big dad akuwa nyuma alikamua bongee moja la show prof jizeeeee au mzee wa mituringa

Sasa si ndo ukafika ule wakati wa baadae kitu cha nainai wanamwitaaa ommy dimpoz

Bob junior akiyakata mauno mfururu jukwaani jana musoma

Mkubwa na wanae ikawakilishwa vema na mh temba, bibi cheka na chegge chigunda mzee wa mwanayumba