ODAMA APATA SHAVU UINGEREZA NA MALAYSIA
Posted by
Unknown
| Monday, September 17, 2012 at 1:59 AM
0
comments
Labels :
SISTADUU wa tasnia ya filamu za Kibongo, Jennifer Kyaka ‘Odama’ amekula shavu la kufanya ziara ya kikazi nchini Malaysia na Uingereza.
Rafiki wa karibu wa Odama alisema kuwa staa huyo aliondoka nchini hivi karibuni baada ya kupata shavu kutoka kwa maprodyuza wa Nigeria ambapo atafanya nao ziara ya kikazi katika nchi hizo mbili kisha atarejea Bongo kuleta maujuzi ya kuendeleza tasnia hiyo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)