HIZI NDO PICHA ZA MELI MPYA YA AZAM
Posted by
Unknown
| Tuesday, October 2, 2012 at 2:38 AM
0
comments
Labels :
Kampuni ya Azam Marine inayomiliki boti ziendazo kasi october 1 2012 imeingiza Zanzibar meli mpya na ya kisasa itakayochukua zaidi ya abiria 1500 na magari 200 ambapo meneja Mkuu wa Kampuni ya Azam Marine, Hussein Mohammed Saidi amesema meli hiyo itafanya safari zake kati ya Dar es Salaam, zanzibar na Pemba.
Meli inaitwa AZAM SEALINKI na imetengenezwa nchini Ugiriki na inatayarishiwa eneo maalumu litakalotumika kwa kupakia na kushusha abiria na mizigo ambapo pamoja na kuwasili Kampuni ya Azam pia inatarajia kuleta meli nyingine ya abiiria itayoitwa Kilimanjaro namba 4.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)