Follow us on:

Pages

KUMBE SKENDO YA TUNDA KUTOKA NA WEMA SEPETU INACHELEWESHA NDOA YA TUNDA...

AN: inakuaje captain wa bongo fleva Tanzania..? Tunda: shwari AN: Kitu gani hatukijui raund hii kuhusu wewe? Tunda: kiukweli Napata comment nyingi sana kwa nn nimerudia video ya demu siyo,yaah lakini nimerudia kwa sababu ya wao walikua wanataka nirudia kwasababu video ilikua imepooza na nyimbo imechangamka,kwa hiyo video hii iko poa na nimepata hongera nyingi sana,na video ya kwanza kuna Lulu na video ilichelewa kutoka imetoka Lulu akiwa gerezani kwahiyo watu walikua wanauliza hii video mpya au ya zaman? hiyo ni sababu nyingine ya vido kurudiwa. AN: Tupe muonekano wako mpya? Tunda: muonekano wangu mpya ni kwamba naangalia show tofauti tofauti za watu wengine unaona wanaimba na kucheza,sasa watarajie kumuona tunda akicheza na kuimba kwa sababu sasa hivi napiga sana mazoez ili pumzi isikate nikiwa naimba na kucheza. AN: mara ya mwisho tulisikia uko katika harakati za kutaka kuoa, siku zimepita hatujasika chochote likoje hili swala..? Tunda: bwana weee, kweli nilikua na ratiba za kuoa hivi karibuni kunaskendo zilikuja kuhusu wema sepetu,zilinihuzunisha sana kiukweli mpaka sasa wife mguu nje mguu ndani kunielewa lakini kwa sasa nashukuru mungu anajaribu kukaa vizuri,akikaa vizuri ntakuletea kadi. AN: haya sasa, funguka vizuri kuhusu Wema Sepetu, niukweli au uvumiiii…? Tunda: aah, ilikua ni skendo tu hakuna ukweli wowote, kiukweli namuheshimu sana Yule dada,yeye ni msaani na maranyingi tunakutana kwenye matukio tofauti tunasalimiana tu mambo,”poa” sina stori nae nyingine zozote,kwahiyo ni uvumi tu umekuja,ustar bila skendo wenyewe wanasema haiwezekani,kwahiyo huo ni uvumi tu ambao hata yeye mwenyewe alishangaa japo sikukaa nae karibu,lakini mimi sina uhusiano nae wowote wa kimapenzi,ni msaani mwenzangu tu hakuna kitu chochote kinachoendelea kati yangu na bibie Wema Sepetu. AN: Mara ya mwisho tulisikia shemu karudi pande za Arusha kujifua ,vip kijacho amesha kuja duniani..? Tunda: yaaah amesha kuja motto wa kike anaitwa Hyrat nampenda sana,sema umechelewa kidogo tu wametoka na Mama yake kwenda kula bata, AN: hongera kwa kazi nzuri, aksante kwa muda wako kaka. Tunda: Mzuka mwanangu