KUMBE KANYE WEST AJAANZA KUMPENDA KIM LEO
Posted by
Unknown
| Sunday, September 9, 2012 at 10:39 AM
0
comments
Labels :
Kanye West hajaanza kumpenda Kim Kardashian juzi. Aliuweka wazi upendo wake kwa mrembo huyo tangu mwaka 2009 wakati (Kim) alipokuwa mpenzi wa Reggie Bush lakini hakuna aliyeweza kugundua.
Vyanzo vilivyo karibu na Yeezy vimeuambia mtandao wa MTOTOWADARESSALAAM kuwa rapper huyo aliandika mashairi kuelezea upendo wake kwenye wimbo alioshirikishwa na Keri Hilson, "Knock You Down."
Mashairi yaliyomlenga Kim yalisema, "You was always the cheerleader of my dreams / To seem to only date the head of football teams / And I was the class clown that always kept you laughing / We were never meant to be, baby we just happened."
Aliongeza kwenye wimbo huyo kwa kusema , "You should leave your boyfriend now."
Subscribe to:
Post Comments (Atom)