Follow us on:

Pages

man city chupuchupu kuanza mashindano vibaya

jana ilikuwa siku ngumu kwa bingwa mtetezi wa epl manchester city baada ya kubanwa mbavu na timu bingwa ya daraja la kwanza southampton baada ya kushinda kwa tabu 3-2 nyumbani shuklan ziwaendee carlos tevez dk 40, edin dzeko 72, samir nasri80, na magori ya wapinzani wao yani southampton gyalifungwa na R.lambert dk 59, S. davis dk 68