ebana ile ngoma iliyokuwa inasubiliwa kwa hamu kubwa ndo hii hapa sasa ni kuhusu maisha ya m2 mweusi ndani ya africa fanya kuisikiliza basi
artist: YB Master Stata
song: Street reserch
crew: UB sounds
Posted by
Unknown
| at 1:46 AM
ub sounds imerudi tena na hii ndo moja ya ngoma ya member ni bonge moja la ngoma fanya kuisikiliza alafu tuone artist: andaki song: fundi wa punch crew: UBsounds
Posted by
Unknown
| Sunday, October 21, 2012 at 8:59 AM
Haya ndio majina ya washindi wa tuzo kubwa za nchini Nigeria The Headies zilizotolewa jana Jumamosi.
ALBUM OF THE YEAR
The Invasion – P-Square – WINNER
ARTISTE OF THE YEAR
Wizkid – WINNER
SONG OF THE YEAR
Oliver Twist – D’banj – WINNER
RECORDING OF THE YEAR
Ara – Brymo – WINNER
PRODUCER OF THE YEAR
Tee-Y Mix – Super C Season (Naeto C) – WINNER
BEST MUSIC VIDEO (AWARD GOES TO DIRECTOR)
Chop My Money Remix (P-Square) – Jude Okoye – WINNER
BEST R&B SINGLE
Soundtrack – May D – WINNER
BEST POP SINGLE
Kukere – Iyanya – WINNER
BEST R&B/ POP ALBUM
The Invasion – P-Square – WINNER
BEST RAP SINGLE
Angeli – Vector ft. 9ice – WINNER
BEST RAP ALBUM
E.L.I – Ice Prince – WINNER
LYRICIST ON THE ROLL
Vector – Angeli – WINNER
BEST COLLABO
Orobo – Sound Sultan Ft. Excel & Flavour – WINNER
BEST VOCAL PERFORMANCE (MALE)
Wande Coal – Private trips – WINNER
BEST VOCAL PERFORMANCE (FEMALE)
Tiwa Savage – Love Me, Love, Love Me – WINNER
AFRICAN ARTISTE OF THE YEAR
Sarkodie (Ghana) – Azonto – WINNER
BEST STREET HOP
Gaga Crazy – Chuddy K – WINNER
NEXT RATED
Davido – WINNER
HIP HOP WORLD REVELATION OF THE YEAR
Wizkid – WINNER
Posted by
Unknown
| at 8:46 AM
Unakumbuka tuliwahi kuandika kuwa baada ya Rick Ross kupiga show kwenye Fiesta mwaka huu kuna msanii mwingine mkubwa anaweza kuja Tanzania hivi karibuni? Well, msanii huyo anaweza kuwa ni Chris Brown…. Yesss Breezy huyu huyu ex wa mtoto Rihanna.
Issue ni kwamba mwezi December mwaka huu kampuni maarufu ya uaandaji wa show nchini Afrika Kusini pamoja na Channel O watamdondosha Chris kwenye ‘Carpe Diem Tour’ ambapo kampuni kubwa ya Tanzania inadaiwa kuweza kutumia nafasi hiyo pia kumdondosha Breezy ndani ya Dar es Salaam.
Chris atakuwa na show Johannesburg, December, 15, Durban December, 17 na Cape Town December 19 na December 20.
Watch this space kufahamu issue hii kama kweli itahappen!!!
Posted by
Unknown
| Wednesday, October 17, 2012 at 9:25 AM
Picha na Maktaba Barabara ya Darajani Visiwani Zanzibar. Askari wa kutuliza ghasia wameshaanza kurusha mabomu ya machozi kutawanya kundi la uamsho ambao wapo Barabara ya Darajani wanachoma matairi na kurusha mawe kwa askari. Fujo hizo zimetokana na kukamatwa kwa kiongozi wa Uamsho Sheikh Farid.
Chanzo cha habari hizi ni Mdau wetu Shangwe kutoka Visiwani Zanzibar.
Tutaendelea kuwapa Update zaidi hapo baadae.
Huyu ndiye Kiongozi wa Kundi linaloitwa UAMSHO la Zanzibar Sheikh Farid aliyekamatwa huko Visiwani Zanzibar. Kundi hilo shughuli zake ni za mihadhara ya Kidini hasa ya Kiislam.
Posted by
Unknown
| Wednesday, October 3, 2012 at 11:46 AM
WAKATI ikidaiwa kuwa yupo kwenye mahusiano na watu maarufu kwa kimya kimya kimwana Jokate mwegelo, amepasua jipya na kudai kuwa aliwahi kutoka kimapenizi na mcheza kikapu maarufu Hasheem Thabeet lakini hakudumu kutokana na sababu mbalimbali.
Ikidaiwa kutoka kimapenzi na mchezaji huyo maarufu wa kikapu anayekipiga nchini Marekani, ni baada ya jina lake kuwa kubwa pamoja na umaarufu wa fedha ndiyo ulimfanya kimwana huyo kuvutiwa.
Jokate alidakwa na DarTalk ili kueleza namna anavyoandamwa na stori za kuwa amekuwa kwenye mahusiano na watu kimya kimya ambapo idadi yao inaweza kuwa kubwa, ambapo alidai kuwa suala lake la mahusiano hakuna mtu linayemuhusu kwani yenye si kama wasanii wa bongo muvi.
Aliongeza kuwa alikuwa kimapenzi na Hasheem lakini haimanishi kuwa kutokudumu kwao kulitokanaa na habari kuwa yenye ni ‘gold digger’ hapana, bali ni sababu ambazo hakutaka kuziweka wazi.
Alidai kuwa mara nyingi maneno yamekuwa yakisikika kwa watu hata kwenye mitandao lakini haoni kama kuna umuhimu wowote wa kujibu kwani haitaji kupoteza muda wa kujibizana na watu wasio na faida yoyote kwake.
Posted by
Unknown
| Tuesday, October 2, 2012 at 2:38 AM
Kampuni ya Azam Marine inayomiliki boti ziendazo kasi october 1 2012 imeingiza Zanzibar meli mpya na ya kisasa itakayochukua zaidi ya abiria 1500 na magari 200 ambapo meneja Mkuu wa Kampuni ya Azam Marine, Hussein Mohammed Saidi amesema meli hiyo itafanya safari zake kati ya Dar es Salaam, zanzibar na Pemba.
Meli inaitwa AZAM SEALINKI na imetengenezwa nchini Ugiriki na inatayarishiwa eneo maalumu litakalotumika kwa kupakia na kushusha abiria na mizigo ambapo pamoja na kuwasili Kampuni ya Azam pia inatarajia kuleta meli nyingine ya abiiria itayoitwa Kilimanjaro namba 4.